Nyumba (Furnished) ya vyumba vitatu inapangishwa Mbweni, Dar Es Salaam


Nyumba Inapangishwa,
Full Furnished,
Ipo Mbweni, JKT
Ina Vyumba 3 vya kulala, kimoja ni Master, kuna Dining Room, Sitting Room, Kitchen, Store na Public Toilet
Luku
Dawasa
Parking Space
Paving
Fensi Nzuri
Bei kwa mwezi $1200
Kwa siku $60
Pia inakodishwa kwa wiki moja au mbili.
Malipo ya Dalali yatategemea na nyumba itapangishwa kwa muda gani.
Gharama za kuona 20,000
Wasiliana nami kwa
0718 809 744
0784234971


















