Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


APARTMENT_ KALI SANA
MPYAAA KABISA ZA KISASA
IPO DAR ES SALAAM TZ
LOCATION _ BUNJU MOGA
BEI LAKI 500,000/= KWA MWEZI
MALIPO YA MIEZI 6.
____________________
muundo wa Nyumba.
Vyumba viwili vya kulala kimoja selfu
Sebule kubwa
Jiko zuri sana
Public toilet
Paving Brock
Full Air conditione
boss changamka chapu zimebaki 2 tu.
Call
0719082300
0762652066
0692904876
Dalali MBEZI BEACH AFRICANA