Nyumba inapangishwa Bunju, Dar Es Salaam


APARTMENT ZINA PANGISHWA BUNJU B SHULE
-------
Vyumba 2 vya kulala kimoja master bedroom
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Ndani ya fence
Parking space kubwa sana
---------
Service charge 20,000/=
Kodi 600,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 6
---------
Contact
๐#0676_218580 (WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach๐น๐ฟ