Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


Ooh, Nyumba Nzuri ila huko ni Mbali! Jaman, Dar Haina umbali, na wateja wangu wakununua nyumba jaman ushauri wangu ni hivi maamuzi yako ya leo ndio faida ya kesho yako. Wapo waliosemaga goba mbali, leo hawasemi! Wapo walioona wakikaa kibaha wako mkoani ila leo kibaha ina nyumba za gharama kama au zaid ya Dar! So wekeza popote hutapoteza hela yako. Leo nakuwekea nyumba za 25m mpk 10m ila hiyo hela ukikaa nayo miezi 6 sinza, Kinondoni, au tabata pasipo kua na lengo inaporomoka, ila ardhi au asset ya nyumba inapanda thamani kila kuchwao, na mitandao ya barabara inazid kufunguka.
Alyetoka miaka 15 Akirud leo anaweza kupotea kutokana na ukuaji wa Jiji hili la biashara linavyobadilika kila siku.
Think of tomorrow then today 🤔
☎️0625 637254 ☎️ 0788 077337