Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


House Of Two Bedroom (All Masters), Sebule na Jiko 500kš
Specifications:-
⢠Nyumba ipo Maeneo ya Goba Njia Nne (Madale Road)š
⢠Vyumba Vyote Ni Master
⢠Jiko Lake Kubwa
⢠Fence Na Parking
⢠Nyumba ipo karibu na Main Road (dk 2 kutembea)
Payment Conditions:-
⢠Kodi ya Nyumba Kwa Mwezi ni 500kā
⢠Malipo Ya Kodi ni ya Miezi Sita (6) (Negotiable)
Service Fee:-
⢠Gharama Za Kuona Numba Ni 20k (Inalipiwa Mara Moja
Hadi Utakapopata Nyumba)
⢠Gharama Za Dalali Ni Mwezi Mmoja wa Kodi Ya Nyumba ambayo Hulipwa Na Mpangaji Tofauti Na Kodi
Contact:
⢠0652251725 Normal/Whatsappš²