Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


NYUMBA INA PANGISHWA INA JITEGEMEA YENYEWE KWENYE FENCE STAND ALONE GOBA NJIA 4
-------
Vyumba 4 vya kulala 2 master bedroom
Seble kubwa
Dinning room
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Public toilet
Maji yana flow
Luku yako
Tiles
Gypsum
Mazingila mazuri sana
Ndani ya fence
Paving block
Parking space kubwa
---------
Service charge 20,000
Kodi 1,200,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni milioni 1.2
-----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿