Nyumba inapangishwa Goba, Dar Es Salaam


#BEST_APARTMENT_FOR_RENT_AT_MBEZI_MWISHO_NJIA_GOBA_ROAD
#Chumba kimoja cha kulala
#Jiko nzuri
#choo cha njee
#Maji yanaflow chooni
##Mazingira mazuri
#Bei ni TSH 120,000/= kwa miezi (6)
Apartment hii ipo #MBEZI_MWISHO_NJIA_YA_GOBA mwanzoni kabisa na kutoka GOBA ROAD hadi kwenye nyumba haizidi dakika 5 mpaka 8 upo ndani kwa miguu
#ULINZI CCTV
#Mlinzi mwenye silaha(usiku na mchana)
#Usafi wa nje na bustani + public toilet ya nje
#Kuondoa taka ni Bureee kabisa!
Karibu sana ndugu mteja
Service charge ni shilingi 15,000
Contact:
#0652472014
#0754344786