Nyumba inapangishwa Kamara, Kigoma







APARTMENT KALI SANA ZA KISASA ZINA PANGISHWA KAMARA STOP OVER DK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU BARABARA YA ZEGE MBAKA GETINI SAFI GARI YOYOTE INA FIKA UKANYAGI TOPE
CHUMBA MASTER
SEBLE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET NJEE
FULL AIR CONDITION
HEATER YA MAJI MOTO MAJI BARIDI
TILES
GYPSUM
SLIDE WINDOW
ELECTRONIC FENCE
GETI LAKE LA LIMOTI
PARKING SPACE KUBWA SANA
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 350,000/=×6
0713661530_0783661530



















