Nyumba inapangishwa Kati, Arusha


HIZI APARTMENT ZIPO TANO KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA INAFAULISHWA KODI TSH 500X6
#SEBULE WASTANI
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLICK TOILET
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW PAVING BLOCK BUSTANI SAFI MZINGIRA MAZURI SANA PARKING YA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 3 KUTOKA MWENDOKASI NJIA RAFIKI KWA GARI ZOTE ZA CHINI
#BEI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 BILA KUSAHAU MWEZI MMOJA WA DALALI
INAFAULISHWA HAPA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258