Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIBAMBA KWA MANGI #200K
===
Chumba cha kulala kikubwa
Sebule kubwa
Choo ndani ( master)
Jiko kubwa
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Ndani ya fence parking IPO
===
Kodi 200,000 Kwa mwezi × 4
===
Umbali dakika 15 Kwa mguu toka kituoni ( KM 1)
===
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15,000/=
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1 👈
What saapp number ⬅️ 0689-547258