Nyumba inapangishwa Kibamba, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOMS MPYA KABISA ZINAPANGISHWA KIBAMBA SHULE #70k
Chumba kikubwa
Choo ndani
Maji yanaflow chooni
Ndani ya fence
Kodi 70,000 Kwa mwezi × 3
Umbali KM 3 Usafiri bajaji 1000 au bodaboda 1500
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
====
Cont
0683234124
0718367179