Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
Sh. 1,500,000
Project
Yes

USIKUBALI KUKOSA NA HIVI. MRADI UPO KIGAMBONI KIMBIJI KIDAGAA Center. Ni Mita 200 tu Toka Barabara kubwa ya Kimbiji, pia ni jirani na kiwanda Cha Africab. Hivi viwanja Viko mjini Kabisa, unanunua na kujenga. Umbali wa Kutoka BAHARINI ni Km 1.5 0711677199/0744847199.

➡️Bei ni Milion 1.5 na Milion 1 Tu.
Vyote vina ukubwa sawa Futi 50 X 40. Utofauti wake, vya Milion 1.5 Viko juu na Milion 1 Viko chini Kidogo Mvua ikinyesha kubwa sana vina asili ya kukaa Maji.

⏭ Viwanja ni tambarare, ujenzi wake hausumbui kabisa, viko kwenye mpangilio mzuri wa barabara, Umeme upo, maji ya DAWASA, shule ya msingi na sekondari hapohapo, hospital ipo n.k

⏭ Unaweza kujenga nyumba ya kuishi, nyumba ya biashara kama kupangisha, maana mahitaji ni makubwa ya nyumba za kupanga mitaa hiyo, kwa sababu ya wingi wa wafanyakazi wa Viwandani.

⏭ Umbali kutoka Ferry ni km 33 , unapanda gari moja tu tokea Ferry, Kuona viwanja ni bure, na kila siku tunaonyesha wateja. Karibu sana kwa maelezo zaidi piga/whatsaap 0711677199/0744847199

Khadja Pesambili | @pesambili properties limited
khadja_viwanja
Khadja Pesambili | @pesambili properties limited

Similar items by location

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 18,000,000

KIWANJA_KINAUZWA---📍 Location: Kigamboni – Kisarawe 2️⃣---Miundombinu:✅ Barabara ya gari (upana 12m...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 600,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kibada Shangwe <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master ...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisota <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebule n...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location chekechea <> nyumba ina vyumba viwili kimoja Master sebul...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 13,500,000

*KIGAMBONI CHEKA PRIME CITY PROJECT* 💫🌟✨🌟🌟✨SIFA ZA MRADI⏭️ 3.7 KM KUTOKA MAIN ROAD MPAKA SITE ....

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

📍KIGAMBONI DARAJANI SOWETO 🏠CHUMBA/JIKO & CHOO 👉INAPANGISHWA 👉NYUMBA IPO KWENYE FINISHING 🕐DAKI...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

HOUSE FOR RENT VYUMBA VIWILI VYA KULALA VYOTE MASTER SEBULE DINNING NA JIKO TSH 350K 🤝 KIBUGUMO KIG...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 12,000 per sqm

HUKU KUMENOGA 🔥🔥🔥🔥ANZA NA LAKI MBILI TU KIGAMBONI PEMBAMNAZI✅Mradi huu unapatikana barabara ya k...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 20,000

MRADI MPYA WA KIGAMBONI VUMILIA UKOONI -MWEMBEMDOGO 0767053517👉🏽Viwanja vimepimwa na vina bacon zi...

Nyumba inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 180,000

📍KIGAMBONI DARAJANI SOWETO 🏠CHUMBA/JIKO & CHOO 👉INAPANGISHWA ____________________________________...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Kibugumo ✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 3 vya kulala (2 Master...

Nyumba ya vyumba viwili inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

🏡 NYUMBA INAPANGISHWA – Kigamboni Geza Ulole 🏡✨ Vyumba 2 ( 1 Master – Self Contained)✨ Sebule kubw...

Nyumba ya vyumba vitatu inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

🏡 NYUMBA YA KISASA INAUZWA📍 Kigamboni – Kibugumo ✨ Sifa za nyumba:➡️ Vyumba 3 vya kulala (2 Master...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location kisiwani <> nyumba ina chumba kimoja master sebule na jik...

Nyumba ya chumba kimoja inapangishwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000

NYUMBA ZINAPANGISHWA KIGAMBONI <> location darajani <> nyumba ina chumba kimoja master na jiko kubwa...

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • Project

Sh. 15,000,000

Viwanja vinauzwa kigamboni MCHIKICHINIBei;Milion 15UKUBWA;SQM 400Kutoka lami MITA 200 tu Yani unatem...

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 20,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MWONGOZOBEI;MILION 20UKUBWA;SQM 900CALL 0742121038

Kiwanja kinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 26,000,000

KIWANJA KINAUZWA KIGAMBONI MJI MWEMA KIBUGUMOBEI;MILION 26UKUBWA:SQM 500CALL 0742121038

Viwanja vinauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam
  • By Installment
  • Project

Sh. 20,000

HAPPY SUNDAY TWENDE SITE WEEKEND HII UKAJICHAGULIE KIWANJA CHAKO KIZURI KABISAOFA ZETU BADO ZINAENDE...

Nyumba inauzwa Kigamboni, Dar Es Salaam

Sh. 165,000,000

HOUSE FOR SALE KIGAMBONI MJIMWEMA KIBUGUMO __INA VYUMBA V3 VYAKULALA VIWILI MASTER __SEBULE DINING J...