Nyumba inapangishwa Kiluvya, Pwani







APARTMENT 3 TU NDANI YA FENCE MOJA ZINA PANGISHWA KILUVYA KWA KOMBA DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU 
CHUMBA MASTER 
SEBLE KUBWA 
JIKO
PUBLIC TOILET NJEE
MAJI YANA FLOW
LUKU YAKO 
TILES 
GYPSUM 
SLIDE WINDOW 
NDANI YA FENCE 
PARKING SPACE KUBWA SANA. 
SERVICE CHARGE 15,000/=
KODI 150,000/=×4
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA AMBAYO NI LAKI 1.5
CONTACT 
#0679447338
O753454167 
#MR_KIBAMBA_REAL_ESTATE_AGENT 🇹🇿
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏




















