Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


*APARTMENT NZURI SANA*
*NDANI YA FENCE* 🔥🔥
*INAPANGISHWA*
*KIMARA TEMBONI*
💥 *KODI YAKE 200K X4//
________________________________________________________
*ILIPWE LAKI MBILI KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI MINNE NA KUENDELEA*
🏘️ *APARTMENT HIIZI INA SIFA ZIFUATAZO*
⚡ *VYUMBA 2 VYA KULALA, KIMOJA NI MASTER KUBWA SANA*
⚡ *SEBURE SAFI*
⚡ *JIKO SAFI NA MAJI YANAFLO*
⚡ *PUBLIC TOILET OUTSIDE*
⚡ *TILES/ GIPSUM*
⚡ *SLIDE WINDOW*
⚡ *FULL PAIVING*
⚡ *GARDEN SAFI*
⚡ *LUKU NA MITA YA MAJI SAFI DAWASA INAJITEGEMEA KWA KILA NYUMBA*
🏘️ *APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI MWISHO.*
*UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.7.*
*BAJAJI TSH 700/=*
*BODA BODA TSH 1000/=*
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________