Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA INAPANGISHWA IPO KIMARA KOROGWE USAFIRI BAJAJI DALADALA ZIPO 
NYUMBA INA CHUMBA SEBULE CHOO JIKO 
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI YANA FLOW NDANI 
KODI 400,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA 7 MMOJA NI CAUTION MONEY 
IPO NDANI YA FENSI PARKING IPO NDANI YA FENSI KUNA NYUMBA 4
NYUMBA INA FULL AIR CONDITION  NYAYA ZA UMEME  KWA UJUMLA USALAMA NI WA KUTOSHA KABISA
KUONA NYUMBA ELFU 20,000 ITADUMU MPAKA UPATE BILA KUCHAJIWA TENA 
UKIPENDA NYUMBA UTALIPA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA 
KWA MAWASILIANO ZAIDI 
PIGASIMU: 0672 673363




















