Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







WAHI HAPA KIMARA SUKA
KODI 150,000X6
CHUMBA MASTER NA JIKO
KIKUBWA SANA KINA 14 KWA 14
MAJI YANA TILILIKA NDANI
UMEME SABU MITA YAKO
HAPA ANAHITAJIKA MSELA WA KIKE
IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM1.2
BODA 1000 MPKA GETINI
ILIYO WAZI NI YA JUU
UKILIPIA VYOMBO VINATOKA MDA HUOHUO
IPO NDANI YA FENSI
MAZINGIRA TULIVU SANA
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
#0625606710🏠wahiii