Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







SASA IPO WAZI KODI 180,000X6
KIMARA STOP OVER
UMBALI KM 1.5
BODA 1000
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA OPEN KITCHEN
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO NA YANA TILILIKA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
###0655256419