Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(250,000 ร 4,5,6) KIMARA KOROGWE KWA MKUWA
๐LOCATION KIMARA KOLOGWE ๐KWA MKUWA KM 2 KUTOKA MAIN ROD
๐๏ธCHUMBA MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA SANA & JIKO KUBWA
๐SIFA ZAKE
MAJI YANAFLOW NDANI๐ฟ UMEME MITA YAKO
NYUMBA IKO KWENYE FENCI PARKING KUBWA SANA
๐USAFIRI UPO MASAA24 BAJAJI SH 500 DALADALA SH 500 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 5
๐ฐKODI 250,000 MALIPO KWANZI MIEZI 4,5,6
SERVICE CHANGER SH.20000
๐MALIPO YA DALALI NI MWEZI MMOJA
Contact:
0654101710
0787205300