Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTIMENT YA KISASA
KIMARA TEMBONI(Dsm)
Umbali:2.Km BAJAJI 1000/=
MUUNDO ÷
Chumba Kikubwa
Sebule Kubwa
Choo Cha Public ndani
JIKO.
Feni Ya Juu
HUDUMA
Maji (yapo Dawasa)
LUKU YAKE
MAZINGIRA TULIVU SANA NDANI YA FENSI
KODI; 150,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi x5x6 Mwezi 1 wa dalali
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
SIMU#0625606710