Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NEW CLASSIC APARTMENT FOR RENT 🔥🔥💥💥 AT KIMARA TEMBONI MTAA WA MAGOROFANI # ZIMEBAKIA 2 TUU
💥APARTMENT HIZI MPYA ZIMEBAKIA 2 TUU NA ZIPO ZA AINA MBILI TOFAUTI NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
SEHEMU 'A'
#VYUMBA 3 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIR CONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBANI
#GARDEN + PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI TSH 700,000/=×6
SEHEMU 'B'
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER YA MAJI MOTO
#AIRCONDITION IMEFUNGWA SEBULENI NA CHUMBA CHA MASTER
#MAKABATI YA NGUO YANAFUNGWA VYUMBA VYOTE
#GARDEN + PAVING ZA KISASA
#PARKING KUBWA
BEI NI TSH 600,000/=×6
FULL SECURITY CCTV CAMERA NA FENSI YA WAYA WA UMEME
🏘️ APARTMENT HIZI ZIPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 50O AU BODABODA SH ELFU 1 TUU NA NJIA YA GARI NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
Contact
0754344786
0652472014