Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







CHUMBA MASTER NA SEBULE KALI SANA NDANI YA FENSI
KODI 130,000X
LOCATION: KIMARA SUKA
UMBALI KM 2.5
BODA 1000
BAJAJI 700
MAJI YANA FLOW NDANI
VYOMBO VINATOLAEWA
INAPIGWA RANGI SAFI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347