Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZIPO NNE KWENYE COMPAUND MOJA KATI IZO MOJA IPO WAZI #BEI 180
#SEBULE KUBWA
#MASTER KUBWA
#JIKO KUBWA
#CHOO CHA WAGENI NJE
#TAILZY GIPSAM MADIRISHA YA SHATA WAVU MAKUBWA MAZINGIRA MAZURI SANA NYUMBA ZIPO KWENYE FENSI YA MICHONGOMA PARKING KUBWA USALAMA WA KUTOSHA
#LUKU INAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 180,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI SITA
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347