Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA KUBWA YA FAMILIA YA KISASA INAPANGISHWA NA ZIPO MBILI TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA KUBWA NDIO INAPANGISHWA BEI NI 300,000/= X 6
๐ฅ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 3 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#DINING
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#GARDEN
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA KUBWA NDIO INAPANGISHWA NA KWA NYUMA KUNA SERVANT CORTER AMBAYO TAYARI INAMPANGAJI
BEI NI 300,000/= X 6
ILIPWE LAKI 3 KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
________________________________________________________
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BODABODA SH ELFU 1 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15
________________________________________________________
NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================