Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 180,000X6 AU 200,000X3
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO
KIMARA SUKA UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI
UMBALI KM 2
BODA 1000
BAJAJI 700
UMEME SUBMITA
MAJI YANA TILILIKA NDANI
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
0712656027