Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA BARUTI DK14 KWA MIGUU KUTOKA LAMI BODA BUKU ZINA KUWA WAZI TAR 31.11.2024 KUONA NA KULIPIYA LUKSA ZIMEBAKI CHACHE.
---------
Chumba
Seble kubwa
Jiko la kisasa lina wekwa kabati
Public #Gypsum
Maji yana flow
Heater ya maji moto maji baridi
Full air condition
Electric fence
Woshing mashine
Free WiFi
Cctv camera
Njoo na mtungi tu wa gesi jiko utalikuta hapa hapa
Paving block zina wekwa
Parking space kubwa sana
----------
Service charge 20,000/=
Kodi 400,000/=×6
----------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
-----------
Contact
📞#0676_218580 (WhatsApp)
📞#0693_673010
#Dalali_big_goba_mbezi_beach 🇹🇿