Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#KODI 350K MALIPO MIEZI X6
STAND ALONE KWENYE FENCI IPO YENYEWE
LOCATION KIMARA KOROGWE ๐KWA MKUWA KUTOKA MAIN ROD KM2 
USAFIRI BAJAJI SH.500 UKISHUKA DK 3
SIFA ZA NYUMBA ๐
CHUMBA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA SANA
JIKO 
MAJI YANA TIRIRIKA NDANI
UMEME MITA YAKO 
PARKING SPACE KUBWA
PAVING BLOCK
NYUMBA IKO KWENYE FENCI
BALABALA RAFIKI KWA GARI ZOTE
KODI SH.350,000 MALIPO MIEZI X6
GHARAMA ZA KUONA NYUMBA SH.20000
MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA๐ค
#0785889413




















