Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 120000ร5) KIMARA MWISHO APARTMENT NZURI USALAMA KAMA IKULU
ITA KUWA WAZI TAREHE 26 KUONA NAKULIPIA RUKSA ZIPO (4) COMPOUND MOJA
UMBALI WA KILOMETA (2,5) TOKA KIMARA MWENDOKAS
BAJAJI 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 4
NI CHUMBA MASTER INA TILES GPYSUM MADILISHA ALUMINIUM NDANI YA FENSI
UMEME SABUMITA
MAJI YANA FLOW
KUPELEKWA KUONA NYUMBA 15000/=
NA BILA KUSAHAU PESA YA DALALI YA MWEZI MMJO
SIMU 0659336751 WSP 0786085637