Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







(400,000X5) KIMARA TEMBONI 2.5KM BODA BAJAJI 1000
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
(1) VYUMBA VIWILLI VYA KULALA
KIMOJA MASTER
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA
PUBLIC TOILET
FULL A/C
UMEME LUKU YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI NA JIKON
KODI 400,000X6
ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI 15,000
BILA KUSAHAU MALIPO YA MWEZI MMOJA KWA