Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENT INAPANGISHWA(150K X 04)
------------------------------
📌KIMARA TEMBONI(Dsm)
Umbali:12. Km BOda 1500/=
_________________________
MUUNDO ÷
✔️ Chumba _Kikubwa
✔️Sebule kubwa
✔️Jiko Kubwa
✔️Choo Cha Public ndani
✔️ Mazingira TULIVU Sana
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Dawasa)#03
✔️ Reserve Tank
✔️LUKU YAKE
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA &NDANI YA FENSI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 150,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 04 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747