Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







INAPANGISHWA LOCATION KIMARA STOP OVER DK 3
KUTOKA STEND STOP OVER USAFIRI ITAKUWA MATUMIZI MABUVU YA HELA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA ELF 20
UKIIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
SIFA YA NYUMBA
__________________
nyumba mpya
Ni chumba sebule master bedroom na pablick ya ndani ipo Jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana
KODI YA NYUMBA
________________
kwa mwezi ni laki nne/=
(400,000)
X 6
CALL
0712656027