Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


#APARTMENT NZUR INAPANGISHWA #KIMARA_KOROGWE
IPO KIMARA KOROGWE KILOMETA 1.7 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKASI
USAFIRI BAJAJI 500 TU UKISHUKA KWENYE BAJAJI DK 5 UPO NYUMBAN BRBR NI RAFIKI KABISA HASA HASA HIKI KIPINDI CHA MASIKA
KODI NI 220,000/= KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 6
SIFA ZAKE 
CHUMBA MASTER KIKUBWA 
SEBULE KUBWA 
JIKO ZURI KUBWA 
LUKU YAKE 
MAJI MITA YAKE 
YANAFLOW NDAN 
NDAN YA FENSI 
PARKING IPO KUBWA 
PERVING BLOCK SAFI 
MAZINGIRA MAZURI 
NA USALAMA WA UWAKIKA 
SERVICE CHARGE NI TZS 15,000/=
CONTACT
#0785889413 
#0785889413
#0785889413




















