Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA NA IPO JIRANI KABISA NA BARABARA
๐๏ธAPARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
# CHUMBA MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO ZURI LENYE MAKABATI
#PARKING
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#GARDEN
#PAVING
BEI NI 250,000/= X 6
ILIPWE LAKI 2 NA ELFU 50 TUU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI PIA UNAWEZA KUPITIA KWA MSUGURI
APARTMENT HII KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONYESHWA NYUMBA ELFU 15 ๐
ULIPIAPO NYUMBA DALALI UTAMPA KODI YA MWEZI1 ๐
What saapp number โฌ
๏ธ 0689-547258