Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI NI 220,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI SITA
LOCATION: KIMARA KOROGWE AU KIMARA MWISHO KOTE UNAFIKA NYUMBAN
SIFA ZAKE
NI CHUMBA MASTER KIKUBWA SEBULE KUBWA NA JIKO ZURI KUBWA
APARTMENT INA TILLES GYPSUM ALUMINIUM SAFI IPO NDAN YA FENS MAZINGIRA MAZURI LUKU YAKE MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDAN
SERVICHAJ ELFU 15
SIMU 0659336751 WSP 0786085637