Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







BEI: 100,000 KWA MWEZI MALIPO  MIEZI X 4 TUU.
===
WAHI TU WAHI MASTER BEDROOM INAPANGISHWA  LOCATION:KIMARA MWISHO (DSM)๐น๐ฟ 
====
Umbali Ni dakika.13 
kwa Kutembea kwa mguu
Kutoka barabara ya morogoro road 
Usafiri bajaji zipo Tsz 500/=
 Boda boda Elfu 1000/=
====
Umeme submeter yako
,maji meters yako pia
 maji yanaflow chooni
===
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15,000/=
 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena
===
O753454167 
O679447338




















