Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO/ AU KIMARA KOROGWE
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM, SEBULE, JIKO, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*ZIKO 3 KTK COMPAUND MOJA, NA KILA MMOJA ANA JITEGEMEA KILA KITU NDANI, PARKNG SPACE KUBWA SANA
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM2, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 220,000/= KWA MWEZI
______________________________
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA
0713661530_0783661530_0612661531_0745593030