Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT 4 MPYA KABISA ZINA PANGISHWA KIMARA TEMBONI DK15 KWA MIGUU KUTOKA LAMI AU UNA WEZA KUPANDA BODA BUKU MA IMEBAKI MOJA TU.
-------
Chumba kikubwa
Seble kubwa sana
Jiko kubwa la kisasa lina makabati
Full AC
Heater ya maji moto maji baridi
Tiles safi
Electric fence
Geti la limoti
Ndani ya fence
Parking space kubwa
--------
Service charge 15,000/=
Kodi 400,000/=ร6
---------
Malipo ya dalali ya mwezi mmoja ambayo ni laki 4
----------
Contact
๐#0676_218580(WhatsApp)
๐#0693_673010
#dalali_big_kimara ๐น๐ฟ
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT ๐น๐ฟ
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA ๐