Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







#APARTIMENT INAPANGISHWA(300K X 6)
#NAFAULISHA MTEJA WANGU
------------------------------
📌KIMARA STOP OVER(Dsm)
Umbali:1. Km BODA 1000/= KWA MIGUU DK 8
_________________________
MUUNDO ÷
✔️ Chumba _ Master
✔️Sebule kubwa
✔️Jiko Kubwa lenye makabati
✔️Choo Cha Public ndani
✔️ Mazingira Mazuri
__________
HUDUMA ÷
✔️Maji (yapo Dawasa)MITA YAKO
✔️ Reserve Tank Lako
✔️LUKU YAKE
📌 MAZINGIRA TULIVU SANA &NDANI YA FENSI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KODI; 300,000/=TZS. Kwa mwezi
Malipo ni miezi 05/06 + Mwezi 1 wa dalali
________________________
Gharama ya kwenda Kuona Nyumba ni Tsh. 15,000/=
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747