Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MPYAA KABISA KODI 200,000X6
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA PEMBENI PUBLIC TOILET PEMBENI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA FLOW NDANI
IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MJINI
UMBALI KM 2.5
USAFILI WA KUMWAGA
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI