Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT KALI KABISA YA KISASA INAPANGISHWA
Location
Kimara mwisho
Dk 4 toka morogoro road
Bei ni Tshs 350 inapungua
Sifa zake:
__________________
Vyumba 2 kimoja master
Sebule kubwa kabisa
Ina jiko kubwa
Ina choo cha familia
Luku inajitegemea
Maji safi ya dawasa
Fensi na parking ni kubwa
Zipo tatu compound moja
NOTE‼️
_________________
‼️Itakuwa wazi tar 08/03/24
Ijumaa
Kuona na malipo yanapokelewa‼️
Kuonyeshwa nyumba 15 elfu 👈
Ulipiapo nyumba dalali mwezi 1
What saapp number ⬅️ 0689-547258