Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







MASTER BEDROOM YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, YANI CHUMBA NA CHOO CHAKE NDANI, MAJI DAWASA YANA FROW CHOONI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE KUBWA SANA, LUKU YA KUSHEA WA 3
*NYUMBA IKO UMBALI WA DK10 KWA MGUU, BAJAJI, DALADALA, TAX500/=
*KODI 150,000/= KWA MWEZI
______________________________
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:
*CALL:
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________
##0655256419