Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


HIZI APARTMENT MPYA KABISA ZINAPANGISHWA WAHI MTEJA BEI ZIPO TOFAUTI SOMA MAELEZO KWA UMAKINI
(A) CHUMBA KIMOJA MASTER
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LUKU 2
#MAJI DAWASA
#BEI NI 130,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6 NYUMBA MPYA
____________________________________
(B) CHUMBA MASTER NA JIKO KUBWA
TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LUKU 2
#MAJI NDANI
#BEI NI 170,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
_______________________________
(C) CHUMBA MASTER KUBWA
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW
#LUKU 2
#MAJI NDANI
#BEI NI 150,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
_______________________________
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 6-7 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________