Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KIBACHERA INA PANGISHWA
KIMARA STOP OVER AU UNAWEZA PITA KIMARA MWISHO
KODI 250,000X6
NI CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET YA PEMBENI
UMBALI KM 2
BODA 1000
BAJAJI 700
IPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO FULL PEVING BLOCK
UMEME SUB METER
MAJI SUB METER
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
###0655256419