Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


NYUMBA YA KUPANGA KIMARA MWISHO
=======================
*CHUMBA MASTER BED ROOM KUBWA SANA, SEBULE, PUBLIC TOILET NJE, MAJI DAWASA YANA FROW NDANI
*NYUMBA IKO NDANI YA FENSI, PARKNG SPACE IPO, INAJITEGEMEA KILA KITU NDANI
*NYUMBA IKO UMBALI WA KM1.5, BAJAJI, DALADALA, TAX700/=
*KODI 170,000/= KWA MWEZI, ILIPWE KUANZIA MIEZI 4
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA
=======================
*WSP:0679997610
*CALL:0658884015
=======================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
______________________________
MSIGWA
________