Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KWA WALE AMBAO MNATAKA KARIBU NA BARABARA NJOO HARAKA 
INAPANGISHWA LOCATION KIMARA MWISHO DK 7 
KUTOKA STEND KIMARA MWISHO
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15
UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA 
SIFA YA NYUMBA 
__________________
hii nyumba NI chumba master bedroom,Sebule na jiko zuri ndani Inajitegemea umeme NA maji nyumba hii ipo ndani ya fensi Mazingira mazuri sana 
๐ฐKODI YA PANGO 
________________
(250,000)
  X 6 
CALL 
CALL #0625606710



















