Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







KODI 250,000X4
KIMARA STOP OVER
CHUMBA MASTER SEBULE NA JIKO LA MAKABATI
UMEME LUKU YAKO
MAJI YANA TILILIKA NDANI
UMBALI DAKIKA 10-15 KWA MGUU
KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHALI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU USITUME SMS UTACHELEWA KUJIBIWA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI