Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 400,000X6 
LOCATION KIMARA MWISHO KM 2 USAFIRI BAJAJI DALADALA 700 UKISHUKA UNATEMBEA DK 1 UMEFIKA 
DALALI MZOEFU MWEZI MMOJA ULIPIAPO NYUMBA SEVCHAGE 15,000 KUONA NYUMBA 
SIFA ZAKE 
____________
#VYIUMBA 2 KIMOJA MASTER 
#SEBULE KUBWA SANA 
#JIKO KUBWA LA MAKABATI 
#PABLICK TOILET NDANI 
#MAJI DAWASCO YANAFLOW NDANI 
#UMEME LUKU YAKO 
#NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PEVING BLOCK ๐ซ 
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347




















