Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam





MASTER BEDROOM YA KIBACHELA INAPANGISHWA BEI NI 70,000/= X 6
🌟MASTER HII INA SIFA ZIFUATAZO
#CHUMBA CHA WASTANI
#CHOO KIZURI
#MAJI YANATOKA NDANI MASAA 24
#LUKU MNASHEA WATU 2
#PARKING KUBWA NA IPO NDANI YA FENSI
#INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI NI GOROFA MOJA TUU
BEI NI 70,000/= X 6
💫💫MASTER HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747



















