Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


300,000
SELELEKA NA HIYO
APARTMENT KALI KABIS
LOCATION
KIMARA SUKA
BARABARA YA CHUO
DK 13 TOKA MOROGORO ROAD
BEI NI 300,000/=X4,5,6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 VYOTE MASTER
SEBULE KUBWA KABISA
JIKO KUBWA
LUKU NA MAJI INAJITEGEMEA
FENSI PARKING ULINZI
KWENDA KUONA NYUMBA 15,000
ENDAPO MTEJAATAPENDA NYUMBA ATALIPA KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI
0679 956 863
0759151524