Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


(350,000X6)KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
NEW NEW APARTMENT ZIPO 3 MOJA NDIO INAPANGISHWA BADO VITU VIDOGO TAYARI KUINGIA TAREHE 01/04/2024 MALIPO YANAPOKELEWA
#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA
#PUBLICK TOILET
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI DAWASA NDANI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW MAZINGIRA MAZURI NYUMBA HIZI HAZINA FENSI ILA USALAMA WA KUTOSHA PARKING KUBWA ULINZI JIWE KABISA
#LOCATION KIMARA KOROGWE DK 8-10 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 10 KWA KUANZIA BAAADA YA HAPO NI MIEZI 6 WAHI MTEJA NYUMBA MPYA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453