Nyumba inapangishwa Kimara, Dar Es Salaam


📍LOCATION KIMARA KOLOGWE 👉KWA MKUWA KM2 KUTOKA MAIN ROD
🏘️CHUMBA MASTER BEDROOM SEBULE KUBWA SANA & JIKO KUBWA
💎SIFA ZAKE
TYRIES GPYSAMU DILISHA ALUMINIAMU MAJI YANA FROO NDANI🚿 UMEME MITA YAKO
NYUMBA IKO KWENYE FENCI PARKING KUBWA SANA
🚘USAFIRI UPO MASAA24 BAJAJI SH 500 DALADALA SH 500 UKISHUKA UNATEMBEA DAKIKA 5
💰KODI 250K MALIPO KWANZI MIEZI 4,5,6
SERVICE CHANGER SH.20000
🔝MALIPO YA DALALI MWEZI MOJA ULIPIAPO NYUMBA 🤝
CALL
0627977383